Friday, October 7, 2011

King Kikii Aimba Pamoja na "Mapacha Watatu"--USA

Picha na maelezo kwa hisani ya www.samsasali.blogspot.com

 

Muimbaji wa nyimbo za dansi nchini Tanzania, Boniface Kikumbi Mwanza Mpango maarufu kama King Kiki, leo maeneo ya College Park, Maryland, Marekani akishukuru kuhudhuria mkutano wa Injili ulioandaliwa na kanisa la The way of the Cross Gospel Ministries anasema "Ninayo furaha kuwepo pamoja na watanzania wenzangu nchi ya ugenini pamoja dada zangu Christina Shusho, Upendo Nkone na Upendo Kilahiro, sio ninyi tu, ila nami pia ninamtanguliza Mungu katika nyimbo zangu, sijui amenipangia nini baadae" Pichani kulia akiwa na Mchungaji John Mbatta wa kanisa hilo.

 
"Mapacha Watatu" Waimbaji wa Injili wakimsikiliza kwa makini King Kiki. Kutoka kulia Upendo Kilahiro, Upendo Nkone na Christina Shusho!

 
King Kiki akitoka jukwaani na kuwapungia waumini.

 
Mapacha Watatu Wakiwa Jukwanii wakifanya Collable...Sijui wananyimbo zao aua wanaimba wa Mmmoja then wanaitikia natamani kujua hili kutoka kwa mapacha watatu.

 
Pacha Christina Shusho akiimba wimbo wa Wakuabudiwa.

 
Pacha Upendo  Kilahiro akiimba wimbo wa Usione wivu mwenzako anavyofanikiwa.

 
Wachungaji wakiimba na kucheza, Kushoto ni mchungaji Fednand Shideku kiongozi wa kanisa la The way of the Cross Gospel Ministries. Maryland

 
Hii Collable sijaipata vizuri ya Pacha Upendo Nkone akiwa na King Kikiii.

 
The Golden Voice King Kikii na Pacha Upendo Mkone wakiimba Yesu wangu ni tumaini!

 
Baada ya ibada, waumini waliotoka na kumpa Yesu maisha yao.

more deatils visit....www.samsasali.blogspot.com
__._,_.___
     .

__,_._,___


0 comments:

Post a Comment