Body
Kama una ndugu rafiki tafadhari atume CV kwa samuels@bol.co.tz kwenye heading ya email aandike "Call Center Agent Application".
Nawatakia siku njema.
Nimatumaini yangu ya kuwa tunaendelea vema,
Ninatafuta Call Center Agent (Customer Care).
Sharti Kubwa awe amewahi ama anafanya kazi kwenye Kampuni Za Simu Zilizopo.
Personality:
· Pleasant voice
· Detailed oriented
· Good team player
· Sociable and friendly
· Ability to remain calm
· Ability to help and guide others
· Presentable and ready to resolve challenges
· Ability to resolve complaints regarding service
· Readiness to take an extra mile dealing with customer queries
Available to work shifts, nights, weekends and holidaysKama una ndugu rafiki tafadhari atume CV kwa samuels@bol.co.tz kwenye heading ya email aandike "Call Center Agent Application".
Nawatakia siku njema.
0 comments:
Post a Comment