Monday, March 21, 2016

VYUO VYA AFYA VITAKAVYOCHUKUA WANAFUNZI APRIL 2016



BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
    
MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO MACHI 2016/2017
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wanatangaza nafasi za masomo kwa kozi mbalimbali za afya zinazotolewa na vyuo vilivyosajiliwa na NACTE na kutambuliwa na wizara. Vyuo vitakavyoendesha mafunzo haya kwa muda huu ni:
S/N
Institute
Programme
NTA Level
Enrolment Capacity
TOTAL
Male
Female
1
Primary Health Care Institute - Iringa
Diploma in Nursing
Level 4-6
30
15
45
2
Mwambani School of Nursing - Chunya
Diploma in Nursing
Level 4-6
40
20
60
3
New Mafinga Health and allied Institute- Mafinga
Diploma in Nursing
Level 4-6
25
25
50
Certificate in Community Health
 Level 4
35
35
70
4
St. Aggrey College of Health Science- Mbeya
Certificate in Nursing and Midwifery
Level 4-5
25
25
50
5
Bulongwa Health Science Institute- Makete
Diploma in Nursing and Midwifery
Level 4-6
20
30
50
Certificate in Community Health
Level 4
20
20
40
7
Lugarawa School of Nursing- Ludewa
Certificate in Medical Laboratory Science
Level 4-5
30
10
40
8
Mbalizi Institute of Health Sciences - Mbeya
Certificate in Community Health
Level 4
25
25
50
9
Yohana Wavenza Health Institute- Mbozi
Diploma in Nursing
Level 4-6
30
20
50
10
St. Bakhita College of  Health - Nkasi
Certificate in Nursing and Midwifery
Level 4-5
25
25
50
11
Mkomaindo
Certificate in Community Health
Level 4
40
40
80
12
Huruma School of Nursing
Diploma in Nursing and Midwifery
Level - 4-6
25
25
50
13
Hydom School of Nursing
Diploma in Nursing
Level - 4-6
10
30
40
14
Same School of Nursing
Certificate in Nursing and Midwifery
Level - 4-5
20
30
50
15
St. Augustin Institute of Health Sciences (CHW)
Hospital
Level 4
40 
40
80
school                  
50
50
100
Elijerry centre
50
50
100
16
Archibishop John Ramadhani School of Nursing
Certificate in Nursing and Midwifery
Level 4 -5
25
25
50
17
Kilema College of Health Sciences
Certificate in Medical laboratory
Level 4 -5
25
25
50
18
Spring Institute of Business and Sciences
Diploma in Pharmaceutical Science
Level 4- 5
20
20
40
19
Nicodemus Hhando School of Health Sciences
Certificate in Medical laboratory
Level 4 -5
25
25
50
21
Besha Health Training Institute
Certificate in Medical laboratory
Level 4-5
25
25
50
Certificate in Community Health
Level 4
25
25
50
22
Bumbuli (SEKOMU)
Certificate in Clinical Medicine
Level 4-5


45
Diploma in Clinical Medicine
Level 4-6


90
Certificate in Community Health
Level 4
25
25
50
23
Tandabui
Certificate in Community Health
Level 4
25
25
50
24
Sengerema COTC
Certificate in Medical laboratory
Level 4-5
35
15
50
25
Mwasenda
Certificate in Medical laboratory
Level 4-5
25
25
50
26
Royona
Certificate in Medical laboratory
Level 4-5
30
40
70
27
Bukumbi Nursing
Certificate in Nursing and midwife
Level 4-5
25
25
50
28
Kagemu EHS
Certificate in Environmental Health Science
Level 4-5
10
10
20
Diploma in Environmental Health Science
Level 4-6
15
15
30
29
Kolandoto
Certificate in Nursing
Level 4-5
30
30
60
Certificate in Community Health
Level 4
30
30
30
30
Mikocheni School of Nursing 
Diploma in Nursing
Level 4-6
20
20
40
Certificate  in Nursing
Level 4-5
20
20
40
31
Kulagwa
Certificate in Community Health
Level 5
40
40
80
32
DECCA College of Health and Allied Sciences
Diploma in Medical Laboratory
Level 4-6
60
40
100
Diploma in Nursing
Level 4-6
50
50
100
33
Mvumi Institute of Health Sciences
Certificate in Nursing and Midwifery
Level 4-5
10
15
25
Diploma in Nursing and Midwifery
Level 4-6
20
30
50
Certificate in Medical Laboratory Science
Level 4-5
40
30
70
Certificate in Community Health
Level 4
20
30
50
34
Tabora Institute
Diploma in Clinical Medicine
Level 4-6
50
50
100
Certificate in Community Health
Level 4
50
50
100
35
Kilimatinde
Certificate in Nursing and Midwifery
Level 4-5
40
40
80
36
Nkinga Institute of Health Sciences
Certificate in Nursing
Level 4-5
10
20
30
Diploma in Nursing
Level 6
20
20
40
Certificate in Medical Laboratory Science
Level 4-6
15
15
30
37
Iambi School of Nursing
Certificate in Nursing and Midwifery
level 4-5
30
20
50
38
St. Johns University
Diploma in Nursing
Level 4-6
75
75
150
39
Rukwa College of Health Sciences
Certificate in Community Health
Level 4
25
25
50
40
Massana College of Nursing
Technician Certificate in Nursing
Level 4 - 5
20
20
40
Ordinary Diploma in Nursing
Level 4 - 6
20
20
40


Kufuatia tangazo hili watu wote wanaopenda kujiunga na kozi hizi, watume maombi yao ili wajiunge na kozi hizi ifikapo mwezi April 2016.
1.    Muda wa Mafunzo:  
·         Miaka mitatu (3)kwa kozi za Stashahada (Ordinary Diploma)
·         Miaka miwili (2) kwa kozi za astashahada (Technician Certificate)
·         Mwaka mmoja (1) kwa astashahada ya awali (Basic Technician Certificate)
2.    Sifa za Muombaji Watarajali (Pre-service):
3.    Kozi za stashahada (ordinary diploma)
·         Kozi za Stashahada ya Maabara (Ordinary Diploma in medical laboratory sciences) amemaliza kidato cha nne na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ya 'C',  kwa masomo ya biologia na kemia , na alama 'D' kwa somo la fizikia, Hisabati na Kingereza kwa  .
·         kozi za Stashahada ya uuguzi na ukunga (ordinary diploma in nursing and midwifery)Awe amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ya 'C',  kwa masomo ya biologia na kemia , na alama 'D' kwa somo la fizikia. ufaulu wa  Hisabati na Kingereza ni sifa ya ziada
·         kozi za Stashahada ya Utabibu (ordinary diploma in clinical Medicine)Awe amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama ya 'C',  kwa masomo ya biologia na kemia , na alama 'D' kwa somo la fizikia. ufaulu wa  Hisabati na Kingereza ni sifa ya ziada

1.    Kozi za astashahada (technician certificates)

·         Astashahada ya  maabara (Technician Certificate medical laboratory sciences).  amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama 'D', kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia, Hisabati na Kiingereza.
·         Astashahada ya Uuguzi na ukunga (Technician Certificate nursing and midwifery). awe amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama 'D', kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia.  Hisabati na Kiingereza ni sifa za ziada
·         Astashahada ya Utabibu  (Technician Certificate clinical medicine). awe amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama 'D', kwa masomo ya biologia, Kemia, Fizikia.  Hisabati na Kiingereza ni sifa za ziada

1.    Astashahada ya awali (basic Technician certificate)

·         Uhudumu wa afya (Community Health worker) awe memaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama 'D', kwa masomo manne (4), somo la biolojia (Biology) likiwa nilazima  
·         Watoaji dawa muhimu (Dispencers) awe amemaliza kidato cha nne  na ufaulu wake  uwe wa kiwango kisichopungua alama 'D', kwa masomo manne (4), somo la biolojia (Biology) likiwa ni lazima.

3.    Utaratibu wa kutuma maombi:
Maombi yatafanyika kwa  njia ya mtandao kupitia mfumo wa udahiri wa pamoja (Central Admission System-CAS) unaoendeshwa na kusimamiwa na NACTE.Aidha mfumo huu unapatikana kupitia Tovuti:www.nacte.go.tz  au  www.cas.go.tz 
4.    Utaratibu wa kutoa taarifa kwa waliochaguliwa:
5.    Baraza la Elimu ya Ufundi (NACTE) litakuwa na wajibu wa kuwataarifu wale wote watakaofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali kupitia 'website' ya Baraza na pia kupitia utaratibu mwingine wowote utakaodhihirika kurahisisha mawasiliano na utoaji taarifa.
6.    Taarifa hizo zitatumwa pia vyuoni kwa ajili ya ufatiliaji na urahisishaji wa mawasiliano.
7.    Muda wa mwisho wa kuomba kujiunga ni tarehe 31 Marchi, 2016.
8.    Muhula wa masomo unatarajiwa kuanza tarehe 18 April, 2016
.
Imetolewa na:
Kaimu Katibu Mtendaji,
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
S.L.P. 7109,
Dar es Salaam.


0 comments:

Post a Comment