MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA , ANAWATANGAZIA MABADILIKO YA USAILI WAOMBAJI WA NAFASI ZA KAZI WALIOFANIKIWA KWENYE USAILI KUFUATIA TANGAZO LAKE KWENYE GAZETI LA MWANANCHI LA TAREHE 27/01/2016 .
USAILI HUU , UMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI IFUATAVYO
WAOMBAJI WOTE WALIOITWA WANATAKIWA KUFANYA MTIHANI WA MCHUJO ( WRITTEN INTERVIEW ) TAREHE 21/3/2016 SAA 02:00 ASUBUHI KATIKA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI YA GEITA * GESECO ) , AIDHA WATAHINIWA WATAKAOFAULU MTIHANI WA MCHUJO WANATAKIWA KUFANYA MTIHANI WA MAHOJIANO ( ORAL INTERVIEW ) MNAMO TAREHE 23/3/2016 KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA
NB : WAOMBAJI WOTE WANATAKIWA KUJA NA VYETI VYAO HALISI ( ORIGINAL CERTIFICATES ) VIKIWEMO VYETI VYA KUZALIWA , CHETI CHA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDANO CHA NNE ( FORM FOUR ) , VYETI VYA MAFUNZO HUSIKA NA PICHA MBILI ( PASSPORT SIZE )
ORODHA YA MAJINA ANGALIA GAZETI LA MWANANCHI , JUMATANO MACHI 16 , 2016

0 comments:
Post a Comment