Wednesday, November 4, 2015

CALL FOR INTERVIEW – USAILI - HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

CALL FOR INTERVIEW – USAILI - HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI
CALL FOR INTERVIEW – USAILI -  HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI

MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI ANAWATANGAZIA WAFUATAO KUFIKA KWENYE USAILI WA KUANDIKA SIKU YA JUMANNE TAREHE 10/11/2015 NA USAILI WA MAHOJIANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 11/11/2015 UTAKAOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI SAA 2:00 ASUBUHI .

TAARIFA ZAIDI SOMA MWANANCHI JUMATANO , NOVEMBA 4 , 2015

0 comments:

Post a Comment