Wednesday, November 26, 2014

NAFASI YA KAZI DEREVA II NAFASI 3)



NAFASI YA KAZI DEREVA II NAFASI 3)
TANGAZO LA NAFASIZA KAZI
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI
NAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAMA IFUATAVYO 

 NAFASI YA KAZI DEREVA II NAFASI 3)
SIFA ZA MWOMBAJl:
•Awe na cheti cha rntihani wa kidato cha nne (IV).
•Awe na leseni daraja la "C' ya ueodeshaji pamoja na uzoefu wa kueodesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali,
•Awe na cheti cha majaribio ya ufundi daraja la nne

KAZl ZA KUFANYA:
a.Kuendesha magari ya abiria na malori.
b.Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo.
c.Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari.
d.Kutunza na kuandika daftari la safari 'Log- Book" kwa safari zote.

MSHAJIARA:
Ngazi ya mshahara wa Serikali TG08 'A" ambayo ni T.8ha.265,OOO/=.

UTARATIBU WA UOMBAJI:
Mwombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Wilaya ya lkungi.
Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, Taaluma, Cheti eha kuzaliwa na picha mbili za rangi (Passport size)
Barua za maombi ziambatanishwe na maelezo Binafsi ya mwornbaji (CV].
Waombaji waliosorna nje ya nehi, waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).
Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri kuanzia 18 hadi umri usiozidi miaka 45.
Waombaji waliokidhi sifa wataitwa kwenye usaili
Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi(original Certificate).
Waombaji waandike anuani zao kwa usahihi na namba zao za simu

Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
HALMASHAURIYA WILAYAIKUNGI,
S.L.P.42,
SINGIDA
======


0 comments:

Post a Comment