Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) anawatangazia wafuatao wafike kwenye mtihani wa mchujo kwa nafasi walizoomba. Mtihani huu utafanyika tarehe 27/11/2014 kama inavyoelekezwa hapa chini. Aidha siku ya Usaili wa mahojiano, mchujo wasailiwa wanatakiwa kuzingatia yafuatayo:
- Kuja na vyeti halisi (Original Certificates vya kuanzia Kidato cha nne na kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji.
- Kila mtahiniwa aje na picha mbili (Passport size)
- Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula na malazi.
- Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa.
USAILI WA MCHUJO UTAFANYIKA SIKU YA ALHAMISI TAREHE 27 NOVEMBA, 2014 NA KADA ZITAKAZOFANYA USAILI WA MCHUJO NI KAMA IFUATAVYO

NA | KADA | MUDA | SEHEMU/UKUMBI |
i | HUMAN RESOURCES AND ADMINISTRATIVE OFFICER II | 2:45-4:00 ASUBUHI | UWANJA WA TAIFA MPYA DAR ES SALAAM |
ii | ESTATE MANAGEMENT OFFICER II | 4:00-5:00 ASUBUHI | UWANJA WA TAIFA MPYA DAR ES SALAAM |
iii | ICT OFFICER II | 5:00 - 6:00 MCHANA | UWANJA WA TAIFA MPYA DAR ES SALAAM |
iv | PROCUREMENT MANAGEMENT OFFICER II | 6:00-7:000 MCHANA | UWANJA WA TAIFA MPYA DAR ES SALAAM |
v | RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT OFFICER II | 7:00-8:00 MCHANA | UWANJA WA TAIFA MPYA DAR ES SALAAM |
vi | JOURNALIST II - VOICE TESTING | 2:45 ASUBUHI- 11:00 JIONI | TBC MAKAO MAKUU BARABARA YA NYERERE |
USAILI WA MAHOJIANO UTAFANYIKA KWA WALE AMBAO HAWANA MTIHANI WA MCHUJO NA WALE WATAKAOFAULU MTIHANI WA MCHUJO. | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
0 comments:
Post a Comment