Wednesday, October 8, 2014

MAENEO YA KUFANYIA USAILI WA KADA ZA AUDITOR II & HUMAN REOURCES OFFICER II








Wasailiwa wanoatarajia kufanya usaili wa Mchujo kwa kada za Auditor II na Human Resource Officer II utakaofanyika tarehe 11 Octoba 2014, wanataarifiwa kuwa muda na maeneo ya kufanyia usaili itakuwa kama ifuatavyo;
AUDITOR II – SAA MOJA KAMILI ASUBUHI
HUMAN RESOURCES OFFICER II – SAA TATU NA NUSU ASUBUHI
Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti halisi (original certificates)

KITUO

MAHALI KWA KUFANYIA USAILI

DAR ES SALAAM
CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA UALIMU DAR ES SALAAM-(DUCE)
DODOMA
CHUO CHA MIPANGO DODOMA-(IRDP)
MTWARA
OFISI YA MKUU WA MKOA-MTWARA
MBEYA
CHUO CHA UHASIBU (TIA)-MBEYA
IRINGA
UKUMBI WA HOSPITALI YA MKOA IRINGA
ARUSHA
CHUO CHA UHASIBU (IAA)-ARUSHA
MWANZA
SHULE YA SEKONDARI MWANZA-(MWANZA SECONDARY)
TABORA
TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE-TABORA-(TPSC-TABORA)


0 comments:

Post a Comment