Monday, October 13, 2014

KUITWA KWENYE USAILI - TBS - (MAREKEBISHO) - 10/13/2014



KUITWA KWENYE USAILI - TBS - (MAREKEBISHO) - 10/13/2014

KUITWA KWENYE USAILI (MAREKEBISHO)

Shirika la Viwango Tanzania(TBS) linapenda kuwatangazia waombaji kazi waliopangiwa kufanya usaili tarehe 16.10.2014 kuwa usaili wao utafanyika tarehe 20.10.2014 muda ule ule kama inavyoonekana katika jedwali la majina katika tovuti ya TBS ambayo ni http://www.tbs.go.tz

Aidha, tarehe 14.10.2014 usaili utaendelea kama kawaida.

Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
1. Kuja na vyeti halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne na vyeti vya Taaluma ambayo mtahiniwa aliomba.
2. Mtahiniwa atakaye shindwa kuja na vyeti Halisi atakuwa amejiondoa katika usaili.
3. "Provisional Results", "Statement of results", hati za matokeo ya kidato cha nne na sita HAVITAKUBALIWA.
4. Kila msailiwa aje na kitambulisho kinachomtambulisha.
5. Kila msailiwa atajigharimia kwa chakula, usafiri na malazi.
6. Kila msailiwa azingatie tarehe,muda na eneo alilopangiwa kufanya usaili.
7. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa.

Limetolewa na:
Kaimu Mkurugenzi Mkuu,
Shirika la Viwango Tanzania,
Makutano ya Barabara ya Morogoro na Samnujoma
S.L.P.  9524,
DAR-ES-SALAAM
Tafadhali bonyeza linki ifuatayo ili uweze kuona majina ya walioitwa kwenye usaili:


Related Posts:

  • Job Opportunities - Maendeleo Bank Ltd EXCITING CAREER OPPORTUNITIES IN BANKING   Promoters of new bank are seeking to recruit high caliber, Results- oriented and self driven people with high integrity to fill the following positions in Dar es Salaam … Read More
  • Job Title : Sales & Marketing ManagerJob Title : Sales & Marketing Manager Requirements :  A Masters degree in Marketing/Sales/Business or any other relevant field. Experience in all aspects of developing… Read More
  • VACANCIES ANNOUNCEMENT THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT'S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/B/148 5 VACANCIES ANNOUNCEMENT th June, 2012 The Public Service Recruitment Secretariat was established … Read More
  • Job Title : Assistant Accountant - 2 PostsJob Title : Assistant Accountant - 2 Posts Requirements :  Accounting Technician Certificate (ATEC II) Fundamental stage Module B Diploma in Accounting or equivalent … Read More
  • VACANCY Advert for Policy & Advocacy PO  Led by EngenderHealth, the CHAMPION Project (Channeling Men's Positive Involvement in a National HIV/AIDS Response) seeks to increase positive male involvement in HIV/AIDS and reproductive health (RH). The project is fun… Read More

0 comments:

Post a Comment