Friday, September 5, 2014

AFISA UGAVI MWANDAMIZI


AFISA UGAVI MWANDAMIZI
From the Mwananchi Newspaper of 5th September
Shirika la Masoko ya Karikaoo ni Shirika la Umma lililoanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na.32 ya mwaka 1974 na kupewa majukumu ya kusimamia na kuendesha Soko Kuu la Kariakoo pamoja na Masoko mengine yatakayokuwa chini ya usimamizi wa Shirika pia kujenga Masoko mengine mapya katika Jiji la Dar es Salaam na kusimamia uendeshaji wake. Shirika linakaribisha maombi ya kazi

Afisa Ugavi Mwandamizi

Sifa
Awe na Shahada au Stashahatla ya JUu katika fani ya Manunuzi na Ugavi, "Materials Management", Usimamizi wa Biashara
"Business Administration" au sifa nyingine zinazolingana na hizo kutaka Chuo kinachotambullWa Kisheria. Awe pia na Cheti cha "CPSP" na amesajiliwa na "PSPTB" na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitano (5).
Sifa za kuingilia waliomo kazini
Kupandishwa choo Afisa Manunuzi Mwandamizi, aliyefanya kazi kwa ufanisi katika Choo hicho kwa muda usiopungua miaka milatu.
Awe pia na Shahada ya uzamili.
Kazi na Majukumu
• Kutambua mahilaji ya bidnaa na huduma mbalimbali za Shirika na kijfanya manunuzi kwa wakati muafaka na kwa gharama
nafuu kwa mujibu wa Sheria ya Manunuzi ya Umma ya mwaka 2011 na kanuni zake za mwaka 2013.
• Kuwashauri wakuu wa Idara na Vrtengo kuhusu kanuni na taratibu sahihi za kufuata wakati wa kufanya manunuzi ya huduma
au bidhaa kwa ajili ya matumiz ya Shirika.
~. Kuhakikisha kuwa utaratibu wa kununua na uagizaji bidhaa na huduma unafuata sheria na kanunui za manunuzi.
• Kushirikiana na Wakuu wa Idara na Vrtengo kufanya mapitio ya mahitaji ya bidhaa au huduma iii kuhakikisha vinapatikana kwa
bei nafuu.
• Kwa kusaidiana na wakuu wa Idara na vitengo kuratibu na kuweka kumbukumbu za vifaa vilivyochakaa, thamani yake na vile
_ ambavyo havijachakaa.
• Kuandaa makabrasha ya Tenda na kuwakaribisha Wazabuni, kupokea maombi yao, kuratibu zoezi la uthamini na kuwataarifu
wazabuni ipasavyo.
• Kuhakikisha kuwa nyaraka zote za manunuzi au uuzaji zinapatikana baada ya kununua na zimejazwa kwa usahihi kulingana
na sheria na taaluma ya ununuzi.
• Kuhakikisha kuwa nyaraka zote za ununuzi au uuzaji zinatuzwa vizuri kwa ajili ya kumbukumbu pindi zilakapohitajika
• Kufanya kazi ,zozote atakazopangiwa na Mkuu wa Kitengo


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Masharti ya Jumla
Muombaji sharti awe raia wa Tanzania
Barua ya maombi, ikiambatishwa na wasifu binafsi pamoja na nakala ya vyeti vya kidato cha nne au sita, mafunzo, cheti cha kuzaliwa.
Nakala moja fiumwe kwa njia ya kawaida "hard copy' na nyingine kwa njia ya mtandao "soft copy' ifumwe kwa andersonshaka@yahoo.com
MENEJA MKUU
Shirika la masoko ya Kariakoo
SLP 15789
DAR ES SALAAM


0 comments:

Post a Comment