Monday, August 4, 2014

AJIRA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA - 8/4/2014



AJIRA TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA - 8/4/2014
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
1.0 tume ya utumishi wa mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha kwa mujibu wa sheria ya uendeshaji wa mahakama na.  4/2011  tume ya utumish wa mahakama mbali  na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbali mbali   wa mahakama.

1.1 hivyo tume ya utumishi wa mahakama inawatangazia  watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo  chini kwa kila nafasiya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika ofisi za mahakama ya Tanzania ambazo ziko katika  mikoa mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi.

2.0 AFISA UTUMISHI II AFISA TAWALA II (TGS D)
waombaji watapangiwa katika mahakama kuu (T) na mahakama za mikoa

2.1 AFISA UTUMISHI II
2.1.1SIFA
shahada ya kwanza ya sayansi ya jamii  au sanaa katika vyuo vikuu vinavyotambuliwa na  na serikali ambao wamejiimarisa  (Major) katika kimojawapo ya fani
i.    Maliasili ya rasilimali watu (humani resourse management)
ii.    Elimu ya jamii(sociology)
iii.    Utawala na uongozi (public adimistration)
iv.    Mipango ya utumishi wa (man power planning)
v.    Wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta
2.1.2 kazi za afisa utumishi Daraja la II
i.  kutunza kumbukumbu sahiji za utumishi wote
ii. kutafsiri na kushughurikia utekerezaji wa miundo ya utumishi.
iii. kutafiti, kuchambua na kupanga takimuna kumbukumbu zote zinazohusu  mipango ya utumishi
iv. kushughurikia  masuala mbalimbali ya kila siku.

2.2 AFISA TAWALA  II TGS D  Nafasi  6.
2.2.1 Shahada ya  kwaza kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na serikali katika fasi zifuatazo.
i. utawala, elimu ya jamii ,sharia ( mwenye cheti cha Law school) menejiment  umma, uchumi na  mwenye ujuzi wa kompyuta.
2.2.2 kazi za maafisa tawala
i. kuweka kumbukumbu za matkio mhimu
ii. kusimamia utekerezaji wa sharia, sera, kanuni na  taratibu mbali mbali
iii. kusimamia kazi za tawala na uendeshaji
3.0 mwisho wa kupokea maombi barua za maombihayo ni tar 11/8/2014 saa 9 30 alasiri
4.0. barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombak=ji na kuambatanisha
- vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo
-vifupicho wa taarifa za mwombaji (cv)
-kivuli cha cheti cha kuzaliwa
-picha mbili (passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

 Waombaji walio katika utumishi wa umma wanapaswa kupitihsa maombi yoa kwa waajiri wao na walio wahi kuacha kazi katika utumishi wa umma waeleze bayana kuwa waliacha kazi katika utumishi wa umma.
 Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa
 katibu
tume ya utumishi wa  mahakama ya Tanzania
SLP. 8391,
 DAR ES SALAAM

KATIBU
TUME YA UTUMISHI WA  MAHAKAMA YA TANZANIA
SLP. 8391,
 DAR ES SALAAM
TANZANIA.


Related Posts:

0 comments:

Post a Comment