Wednesday, June 18, 2014

USAILI AWAMU YA PILI - MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION)



USAILI AWAMU YA PILI - MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION)
KUITWA KWENYE USAILI AWAMU YA PILI

NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT
INSPECTOR OF IMMIGRATION)

1.  Orodha ya majina ya wafuatao, ni wasailiwa waliopita awamu ya kwanza ya usaili wa kuandika (Aptitude test).

2.  Usaili wa awamu ya Pili ni wa ana kwa ana (Oral interview). Utafanyika katika Bwalo la Maafisa Magereza, Ukonga kwa tarehe zilizopangwa kuanzia saa 1:30 Asubuhi.

3.  Kila msailiwa anaelekezwa kufika na vitu vifuatavyo:-

·       cheti halisi cha kuzaliwa

·       vyeti halisi vya shule


·       pamoja na picha mbili za pasipoti 

KUITWA KWENYE USAILI AWAMU YA PILI NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (ASSISTANT INSPECTOR OF IMMIGRATION) 

0 comments:

Post a Comment