Thursday, May 15, 2014

Tanzania Yapokea Msaada wa sh .Bilion 151 kutoka Sweden

 
 
 
 
Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kulia) na Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) wakiweka saini katika mkataba wa programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi Bilioni 151 ,leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha Saada Mkuya (kulia) akibadirishana mkataba na Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) baada ya kutiliana saini mkataba wa programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi Bilioni 151 ,leo jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Sweden nchini Lennarth Hjermaker (kushoto) akajadiliana jambo na Waziri wa Fedha Saada Mkuya (katika) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa, baada ya kutiliana saini mkataba wa programu ya kukuza stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu wenye thamani ya shilingi Bilioni 151 ,leo jijini Dar es Salaam.( Picha Zote na Lorietha Laurence-Maelezo)

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment