Sunday, May 18, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAKUMBUSHO DUNIANI YAENDELEA KUFANA KATIKA MAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UTAMADUNI JIJINI DAR

 
 
 
 
Kundi kubwa la wanafunzi kutoka shule mbali mbali wakisherekea Maadhimisho ya Siku ya Makumbusho Duniani yanayo adhimishwa Kitaifa katika Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam.
Kundi kubwa la Wanafunzi walio udhuria maadhimisho yaSiku ya Makumbusho Duniani katika Viwanja vya Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaama wakimsikiliza Mwendesha kipindi cha watoto, Bw Chance Ezekiel (Uncle Bilinge) hayupo Pichani.
Pichani ni Chance Ezekiel (Uncle Bilinge) na safu nzima ya uongozaji wageni wakiwa wanawanafunzi wa shule mbali mbali (hawapo pichani) katika kipindi cha Chemsha bongo na Burudani ambayo ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Makumbusho Duniani.

0 comments:

Post a Comment