Mkurugenzi mkuu wa KAMPUNI ya Dar Brew,Bw. Kiroi Suma (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa bia mpya ya asili ya chibuku super jijini Dar Es Salaam hivi karibuni.Kulia ni Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda hicho,Said Mremi.
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda hicho,Said Mremi akionyesha moja ya chupa ya Chibuku mbele ya waandhishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa bia hiyo mpya ya asili ya chibuku super jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Waandishi wa habari wakionyeshwa mitambo maalum na ya kisasa inayotumika kuzalisha Bia ya Chibuku Super
0 comments:
Post a Comment