Wednesday, May 21, 2014

Balozi Seif atembelea Madaktari Bingwa kutoka Cuba, akutana na Mkurugenzi wa maonesho ya Biashara wa Uturuki

 
 
 
 
  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi  Seif Ali Iddi kulia akibadilishana mawazo na Madaktari Mabingwa kutoka Nchini Cuba hapo kwenye Makazi yao Mnazi Mmoja Mkabala na Bustani ya Victoria ambao wanaendelea kutoa mafunzo ya Udaktari kwa Madaktari wazalendo wa Zanzibar. Kati kati aliyevaa koti jeusi ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Saleh Mohamed Jidawi.
  Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Saleh Mohamed Jidawi Kushoto aliyevaa koti akitoa maelezo mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Balozi Seif wa pili Kulia mara baada ya kukagua matengenezo ya nyumba ya Mabingwa wa Udaktari kutoka Cuba Hapo Mnazi Mmoja. Wa pili kushoto ya Dr. Jidawi ni Mkuu wa Mafunzo ya udaktari kutoka  Cuba Dr. Irene Nodarse Toprres na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Madaktari hao wa Cuba Dr.Fred.
 Mkurugenzi Mauzo  Kimataifa wa Maonesho ya biashara kutoka Nchini Uturuki { Meridyen International Fair Organisation Limited } Bwana Nuvit Becan akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi  Seif azma ya Taasisi yake kutaka kufanya maonyesho ya Kibiashara Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Maonesho ya Kibiashara kutoka Uturuki hapo Ofisini kwake Jengo la Baraza la Wawakilishi Mbweni. Kulia ya Balozi ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Bwana Nuvit Becan na kushoto yake ni Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Mh. Thuwaiba Kisasi na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd. Julian Raphael.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

Related Posts:

  • Area Assistant AccountantJob Title : Area Assistant Accountant Source : The Guardian, August 1o, 2011 Requirements : Bachelor Degree in Accounting or Advanced Diploma in Accounting … Read More
  • Career Opportunity at REPOA    CAREER OPPORTUNITY AT REPOA     REPOA's Programmes Support, M&E and Learning department provides support on routine and ad… Read More
  • Branch Accounts AssistantJob Title : Branch Accounts Assistant Source : The Guardian, August 1o, 2011 Requirements : Should have completed A-Level/Diploma in accounts with hereunder additional qualifi… Read More
  • Assistant Sponsorship OfficerJob Title : Assistant Sponsorship OfficerSource : The Guardian, August 5, 2011Requirements : A recognized qualification communicationJob Description :Facilitate the management of the database by updatethe database on regular … Read More
  • Site Operations SupervisorJob Title : Site Operations SupervisorSource : The Guardian, August 10, 2011Requirements : A Diploma/Degree in electrical EngineeringJob Description :Manage company's QHSE policies and procedures on sitesApply To : Recrui… Read More

0 comments:

Post a Comment