Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha,Bi.Juvita Lubuva(kulia)akisalimiana na maofisa wa ofisi ya Meya wa jiji la Arusha walipofika katika Kituo cha Afya cha Ngarenaro kwa ajili ya kukabidhiwa msaada wa mashine ya Ultrasound yenye thamani ya Tsh Milioni 14 iliyotolewa na benki hiyo kwa Kituo hicho cha Afya.
Mwakilishi wa Meya wa jiji la Arusha Bw.Michael Kivuyo(kushoto)akipokea msaada wa mashine ya Ultrasound yenye thamani ya Tsh Milioni 14 kwa niaba ya Kituo cha Afya cha Ngarenaro,kutoka kwa Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha,Bi.Juvita Lubuva(kulia)
Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha,Bi.Juvita Lubuva(kulia)akimsikiliza jambo Mwakilishi wa Meya wa jiji la Arusha Bw.Michael Kivuyo(kushoto)pindi alipomkabidhi msaada wa mashine ya Ultrasound yenye thamani ya Tsh Milioni 14 iliyotolewa na benki hiyo kwa Kituo cha Afya cha Ngarenaro.
0 comments:
Post a Comment