Friday, August 16, 2013

Baada ya kukosa mapesa ya BBA, bado Nando au Feza wanaweza kupata dili hili.



Baada ya kukosa mapesa ya BBA, bado Nando au Feza wanaweza kupata dili hili.
2
   Baada ya Feza Kessy na Ammy Nando kutoka kwenye jumba la BBA, nafasi yao kuongeza figures kwenye bank account zao kutokana na mashindano haya bado ipo. Unaambiwa mmoja kati ya Big brother housemates atachaguliwa kuwa brand ambassador wa  kampuni ya RLG communications ambao ni wauzaji wa Uhuru tables  na pia ni co-sponsor wa BBA The Chase.

RLG communications wamekua wanatoa zawadi za tablets kwa watu wanaowapiga kura kwa washiriki wa Big brother, lakini mpango wao hivi sasa ni kumchagua mmoja kati ya washiriki wa BBA The Chase kuwa brand ambassador. Feza na Nando bado wana nafasi ya kupata hili dili.



0 comments:

Post a Comment