Mhubiri wa injili akitoa neno pembeni ni viti kwa ajili ya waumini japo hakuna aliyejitokeza.
...Akizidi kumwaga injili.
...Akielezea umuhimu wa kumtukuza bwana.
Kamera ya Global hivi karibuni ilikutana na Mhubiri injili ambaye hakufahamika jina lake aliyekuwa akiendesha ibada ya maombi na kushusha neno la Mungu, pande za Mabibo Sokoni katika eneo la wazi zaidi ya masaa matatu pasipo mtu yoyote kujitokeza kumsikiliza. Watu wengi waliokuwa wakipita eneo hilo hawakuweza kumwelewa mtumishi huyo anayetoka Kanisa la Pentekoste Injili Tanzania.
(GPL)
0 comments:
Post a Comment