Jana katika siku ya Christmas, Rihanna na Chris Brown walijumuika pamoja kwenye mechi kali ya kikapu kati ya Knicks na Lakers katika uwanja wa Staples Center jijini Los Angeles, Marekani.
Wapenzi hao wa zamani hakuona shida kukaa pamoja kushuhudia mechi hiyo ambapo Knicks walishinda kwa vikapu 116 – 107.
Kingine mastaa hao walionekana wakiwasili uwanjani wakiwa na bodyguard mmoja.

0 comments:
Post a Comment