Kocha mpya wa Yanga Ernstus Brands akisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuiona klabu ya Yanga,kushoto ni makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga akimpa maelekezo.Kabla ya kujiunga na Yanga, kocha huyo alikuwa akiifundisha APR ya Rwanda.
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga pamoja na kocha mpya wa Yanga wakisikiliza maswali kutokwa kwa waansishi wa habari ambao walihudhuria tukio la Yanga kumtambulisha kocha huyo mpya ambaye atarithi mikoba ya Mbelgiji, Tom Saintfiet ambaye alitimuliwa hivi karibuni.(Picha zote kwa hisani ya BIN ZUBEIRY BLOG)
Saturday, September 29, 2012
Kocha Mpya Wa Yanga
Related Posts:
CHEKA AMGALAGAZA KARAMA RAUNDI YA SITA Bondia Fransic Cheka akinyooshwa mkono juu na mmoja wa mashabiki wa Kigeni waliokuja kuangalia mpambano wake dhidi ya Karama Nyilawila Cheka alishinda katika raundi ya sita baada ya karama kusalimu amri kushoto n… Read More
TAKWIMU ZA LIGI KUU BONGO, KLABU NA WACHEZAJI WANAOONGOZA KWA MAGOLI, PAMOJA NA WA MWISHO. . Mwandishi Shaffih Dauda ameripoti kwamba licha ya kushika nafasi ya pili kutoka mkiani ikiwa na pointi mbili tu baada ya kufungwa mechi mbili na kutoka sare mechi mbili, Timu ya Polisi Moro ni moja ya timu zen… Read More
HIZI NDIO PICHA ZA MECHI YA JANA SIMBA NA YANGA Ubao wa Matokeo unavyoonekana baada ya kumalizika kwa Dakika tisini za Mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Simba na Yanga uliochezwa usiku wa leo kwenye uwanja wa Ta… Read More
MPAKA MAPUMZIKO YANGA 2-0 TOTOLIVE KUTOKA CCM KIRUMBA YANGA V/S TOTO AFRICANS MPAKA Timu zote mbili zinakaguliwa Wanahabari wakikimbizana na matukio timu zikiendelea kukaguliwa Uwanja wa Kirumba ukiendelea kushona watu Hawa ni wachezaji wa To… Read More
Said Sued Scud: Mwiba mkali wa Simba miaka hiyo! Said Sued Scud kushoto akiwa na Mwandishi wa Mwanaspoti WAKATI Said Bahanuzi akiongoza mashambulizi ya Yanga dhidi ya Simba kesho Jumatano saa moja usiku, miaka 21 nyuma akiwa na umri wa miaka mit… Read More
0 comments:
Post a Comment