Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe. Benjamin Mkapa akihitimisha mjadala kuhusu Mpango wa Tohara ya Hiari kwa Wanaume ili kupunguza maambukizi ya UKIMWI kwenye mojawapo ya mikutano ya Kongamano la UKIMWI kwenye Ukumbi wa Mikutano wa mjini Washington D.C.
Mkutano ukiendelea.
Ma-Champion wa HIV Free-Generation Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe. Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joachim Chisano na Rais Mstaafu wa Zambia Mhe. Kenneth Kaunda pamoja na wadau wengine wakiwa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa mjini Washington D.C kuhudhulia mikutano ya Kongamano la UKIMWI.
Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe. Benjamin Mkapa akiwa katika Mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Marekani,Mh. Mwanaid Maajar.







0 comments:
Post a Comment