Wednesday, July 25, 2012

ALIYEMTEKA DK. ULIMBOKA NI RAMADHANI IGHUNDU WA TISS

Gazeti la MwanaHalisi:
Leo limeibuka na habari Nzito ikibainisha kwa jina yule mtu aliyetajwa na
Dk. Ulimboka (Abdul) kuwa ni afisa usalama wa Taifa (TISS) na kumtaja kwa
jina la Ramadhani Ighundu ambaye alikuwa akiwasiliana na Dk. Ulimboka
aliyekuwa akitumia namba 0713 731610 kwa kutumia namba ya 0713 760473
ambayo ameisajili kwa jina hilo la Ramadhani Ighundu.

Fuatilia MwanaHalisi upata uhondo huo na uone jinsi ambavyo sakata hili
limefika kunono.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment