Hata kama zero ziko nyingi, angalieni tu maana ni watoto wetu hawa.
Angalia katika tovuti ya http://www.necta.go.tz
#TakeACloserLook
Poleni wazazi na watanzania wote.
"Mwingine aliandika bongo fleva, ngoja niwasomee, wasahihishaji msinisamehe..., acha utani na girl wangu, najukuja home nakukuta.. nikifeli mtihani naendelea na fani ya muziki," Dkt. Ndalichako alisoma moja ya karatasi za majibu za watahiniwa hao huku akiruka baadhi ya maeneo akisema ameandika matusi yasiyoweza kusomeka.
--
0 comments:
Post a Comment