Wednesday, January 11, 2012

DK SLAA APOKELEWA KWA SHANGWE JIJINI MBEYA


Dk. Slaa akikaribishwa na mbunge wa mbeya mjini, Mh. Joseph Mbilinyi mara baada ya kuwasili maeneo ya Uyole jijini Mbeya jana jioni.


Baadhi ya wabunge na wanachama wa Chadema wakimsikiliza kwa makini Dk Slaa mara baada ya kuwasili jijini Mbeya jana jioni.

Dk. Slaa akishangiliwa na wanachama wake alipokuwa akipita maeneo ya Mwanjelwa jijini Mbeya jana jioni.
Picha zote na MBEYA YETU BLOG



0 comments:

Post a Comment