Sunday, October 9, 2011

Vijana wawili wanahitajika kwa ajili ya kazi zifuatazo;

Ninahitaji vijana wawili kwa ajiri ya kazi zifuatazo;
  1. Kufanya usafiri katika eneo la kazi.
  2. Kusimamia utoaji na uingizaji wa bidhaa katika ghara.
  3. Kufunga mizigo ya wateja.
  4. Kupanga bidhaa katika ghara.

Sifa za muombaji.
  1. Awe mwaminifu.
  2. Awe mchapa kazi.
  3. Awe na elimu ya darasa la saba au kidato cha nne.
  4. Awe anaishi Dar es Salaam.
Namna ya kutuma maombi.

Maombi yote yatumwe kwa njia ya e-mail hii hapa chini;
miundombinu2010@yahoo.com.

Au unaweza kunipigia simu kwa maelekezo zaidi. Piga no.0786 190200
Asanteni.

0 comments:

Post a Comment