Tuesday, November 11, 2014

NAFASI ZA KAZI Halmashauri ya Wilaya ya Liwale - NOV 2014


NAFASI ZA KAZI Halmashauri ya Wilaya ya Liwale - NOV 2014 Records Management Assistant II 
Location > Wilaya ya Liwale

 Sifa
Kuajiriwa wahitimu wa kidalo cha nne wenye cheti cha Utunzaji wa Kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala,
Mahakama na Ardhi.
Awe na umri wa kuanzia miaka 18-44.

Kazi za kufanya
Kutafuta kumbukumbu/Nyaraka/Mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.
Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu Inyaraka.
Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika(Classification and Boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi.
Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (File racks/cabinales katika masjala/vyumba pa kuhifadhia kumbukumbu.
Kuweka kumbukumbu (barua, nyarakan.k) katika mafaili
Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutokaTaasisi za Serikali.

Mshahara
Mshahara kwa nafasi hiyo ni TGS 'B' sawa naTshs.345,OOO/= kwa mwezi.
 
 Secretary, Admin support III
Location > Wilaya ya Liwale 
Sifa
Awe amehilimu kidalo eha nne na kuhudhuria mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Halua ya tatu.
Awe amefaulu somo la HatiMkaloya Kiswahili na Kingereza maneno 80 kwa dakika moja na awe amepata mafunzo ya
Kompyuta kutoka chuo chochole kinachotambuliwa na Serikali na kupata Cheti katika Programu za Windows, Microsoft
Office, Intemet.E-Maii na Publisher.
Kazi za kufanya
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
Kusaidia kutunza taarifalkumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi
zingine zilizopangwa kutekelezwa katika Ofisi anamofanyia kazi, na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo Ofisini.
Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
Kusaidia kupokea majalada, kuyasawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinanohusika.
Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na msimamizi wake wakazi.

Mshahara
Mshahara kwa nafasi hiyo ni TGS 'B' sawa na Tshs.345,OOOI= kwa mwezi.

 Village Executive III (X 8) 
Location > Wilaya ya Liwale
 Sifa
Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha nne (IV) au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo:-
Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka chuo cha Serikali za
Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa n'a Serikali.

Kazi za kufanya
Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
Kusimamia Ulinzi na Usalama wa Raia na malizao.
Kuratibu na kusimamia upangaji na Utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
Kutafsiri na kusimamia sera, sheria naTaratibu.
Kuandaa Taarifaza Utekelezajiwa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza uzalishaji mali.
Kiongozi wa Wakuu waVitengo vya Kitaalam katika Kijiji.
Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi.
Kusimamia Utungajiwa Sheria ndogo za Kijiji.
Atawajibika kwa Mtendajiwa Kata.

Mshahara
Mshahara kwa nafasi hiyo ni TGS 'B' sawa naTshs.345,OOOI= kwa mwezi.
Utaratibu wa uombaji

Security Guard 
Location > Wilaya ya Liwale

Sifa
Awe amehilimu kidalo eha nne na kufuzu mafunzo ya Mgambo/PolisilJKT au mafunzo ya Zimamolo kuloka katika Chuo
kinachotambuliwa na Serikali.
Awe na umri wa kuanzia miaka 18 - 44.

Kazi za kufanya
Kuhakikisha mali yoyole ya Ofisi inayololewa langoni (NjeyaOfisi) inahati ya idhini.
Kuhakikisha mali yole inayoingizwa langoni inazo hati za uhalali wake.
Kulinda usalama wa majengo, Ofisi na maliza Ofisi mchana na usiku.
Kuhakikisha kwamba milango na madirisha yole ya mefungwa ipasavyo mwisho wa saa za kazi.
Kuhakikisha kwamba wageni wole wanaoingia katika eneo la Ofisi wanaidhini Xa kufanya hivyo.
Kupambana na majanga yole yatakayolokea katika sehemu ya kazi kama vile rnoto, mafuriko n.k na kutoa taarita katika vyombo vinavyohusika, kama vile polisi na zimamolo.
Kutoa ushauri wa jinsi ya kuboresha huduma ya ulinzi mahali pa kazi.

Mshahara
Mshahara kwa nafasi hiyo ni TGOS 'A' sawa na Tshs.265,OOO/= kwa mwezi.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yaletwe yakiwa na nakala halisi za vyeti vya Elimu na Taaluma pamoja na wasifu wa mwombaji (CV)
Maombi yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya,
S. L. P. 23, LIWALE.
Mwisho wa kutuma maombi saa 9.30 alasiri.


0 comments:

Post a Comment