Thursday, August 21, 2014

Website moderator - Baabkubwa Enterteinment


Website moderator - Baabkubwa Enterteinment
Baabkubwa Enterteinment, wazalishaji wa Jarida namba moja la burudani Tanzania, Baabkubwa Magazine. Inatazamia kuboresha news contents kwenye social medias na website yetu kwa kuajiri waandishi vijana wenye ubunifu na hamasa ya kufanya kazi kwa ajili ya kuboresha miradi ya habari inayoendeshwa na kampuni yetu.

Tunatafuta kijana mmoja mwenye uzoefu wa Wa ku update website inayotumia WordPress CMS.

Sifa za mwombaji:

Awe na umri kati ya miaka 21 na 30.
Awe anajua HTML, Java Script, na PHP.
Awe na uwezo wa kuhariri habari (kusimamia standard ya Habari anazoletewa) na ku update site kwa kutumia vyanzo vingine.
Mwenye uzoefu atapewa kipaumbele zaidi.

Majukumu:

Kuhariri habari anazoletewa na kupandisha.
ku update taarifa kwenye mitandao ya kijamii.
Kutafuta habari mpya kwenye mitandao na ku update information kwenye site.

Tuma maombi kupitia barua pepe PM kwa BaabKubwa Magazine au fika ofisini kwetu Oysterbay kituo kinachofata baada ya Namanga (Msikitini).

Tuma maombi yako kupitia Email Adress
baabkubwamagazine@gmail.com

Maombi yaambatanishwe nawasifu au vigezo vitakavyo tusaidia kukuita kwenye interview.

note: Tusipo kuita kwenye usahili maombi yako hayajafanikiwa
Mwisho wa kutuma maombi ni tar 27 Aug 2014

Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa simu No

Editor- 0712494761
0754955566


0 comments:

Post a Comment