Kiwanada cha kuzalisha saruji cha DANGOTE Tanzania kilichopo mkoani Mtwara kilomita 23 bara bara ya Lindi, Kata ya Mayanga, Kijiji cha HIARI, kinaalika maombi ya nafasi za kazi za madereva wenye uzoefu wa magari makubwa ya mizigo yasio pungua uzito wa tani 33 na urefu usiopungua mita 18
DEREVA GARI ZA MIZIGO NAFASI 594
SIFA ZA MWOMBAJI
I. Awe na umri wa miaka 26 hadi 55
II. Awe na lesini halali ya daraja E na mwenye uzoefu usiopungua miaka mi 5 ya kuendesha magari makubwa ya mizigo uzoefu wa kuendesha maroli wenye urefu usiopungua mita 18
III. Uzoufu usiopungua miaka mi 5 kwenye magari ya kuvuta tela
IV. Ajue kuandika taarifa na uzoefu wa kuweka kumbu kumbu zake kwa ufasaha
V. Awe na afya njema, akili timamu, ari ya kufanya kazi kwa tija, mwadilifu, mbunifu awezaye kujisimamia mwenyewe, katika kutimiza majukumu atakayo pewa
VI. Awe na wadhamini wanaoaminika na awe tayari kuchukuliwa alama za vidole
VII. Awe na uelewa wa kusoma na kuandika na kusikia Kiswahili na kingereza kwa uufasaha muhitimu wa kidato cha IV/VI
VIII. awe mtuami mzuri wa muda katika safari atakazo pangiwa ndani na nje ya nchi
IX. awe na uwezo mzuri wa kupaki garikwene nafasi zinazo bana
X. awe na uwezo wa kusoma kiongoza ramani
VIAMBATANISHO
- Barua ya maombi ichapishwe au iandikwe kwa mkono
- Picha 2 za rangi zilizobanwa na vizuri katka barua ya maombi
- Vyeti vya mafunzo VETA/NIT pamoja na taaluma
- Cheti au barua kutoka muajiri wa sasa au aliyepita
- Barua toka kwa wadamini wa 2 wanaoaminika zikiambatana na picha zao
- Cheti cha afya kutoka hospitali inayotambulika na serikali
- Cheti za kuzliwa
MSHAHARA KWA MWEZI
DILSS Faraja lla 2 ngazi ya 3
NAMNA YA KUWASILISHA MAOMBI
- Andika nfasi unayoomba upande wa juu kulia mwa bahasha sambamba na kumbu kumbu namba ya tangazo
- Pamoja na maelezo ya uombaji onyoesha chanzo cha taarifa ya uombaji
- Maombi yatumwe kwa njia ya posta kupitia anuani zilizopo hapo chini
- Barua za mkononi hazitapokelewa
- Barua zote zitumwe kwA
MKUU WA IDARA YA RASILIMALI WATU NA UTAWALA,
DANGOTE INDUSTRIES LIMITED TANZANIA,
S.L.P 1241,
MTWARA
Kwa maulizo wasiliana nasi kwa barua pepe recruitment.tanzanis@dangote.co
0 comments:
Post a Comment