Sunday, December 7, 2014

KUITWA KWENYE USAILI - CALL FOR INTERVIEW - 06/12/2014



KUITWA KWENYE USAILI - CALL FOR INTERVIEW - 06/12/2014
Kumb. Na EA.7/96/01/H/21

06 Desemba, 2014

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya College of Business Education (CBE), Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA), National Audit Office (NAO), Tanzania Airpots Authority (TAA), Tanzania Institute of Accountancy (TIA), Registration,
Insolvency and Trusteeship Agency (RITA), Tanzania Public Service College (TPSC), Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anatarajia kuendesha usaili na hatimae kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.

Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia yafuatayo:

1. Usaili utaanza saa moja kamili asubuhi (1:00) na utafanyika mahali na
tarehe kama inavyoonesha katika nafasi husika.

2. Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi mfano: kitambulisho cha mkazi,
kupigia kura, kazi, hati ya kusafiria n.k

3. Kuja na Vyeti Halisi (original certificates) vya kuanzia kidato cha nne, sita,
Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na
sifa za mwombaji.

4. "Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati matokeo
za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS)
HAVITAKUBALIWA.

DOWNLOAD


0 comments:

Post a Comment