HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYINGA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya shinyanga anatangaza nafasi za kazi kwa mujibu wa kibali cha ajira chenye kumb.Na.CB 170/376/01/B/56 cha tarehe 7/8/2014 kutoka kwa katibu mkuu menejiment ya utumishi wa umma, kwa wananchi wote wenye sifa na raia wa Tanzania kuomba nafasi za kazi zifuatazo.
1. MTENDAJI WA MTAA (II)NAFASI 7
a. SIFA
i. Awe raia wa Tanzania.
ii. Awe na elimu ya kidato cha iv au vi
iii. Awe amehitimu mafunzo ya stashahada (diploma) kwa miaka miwili katika fani zifuatazo; utawala, sharia, elimu ya jamii, usimamizi wa fedha, maendeleo ya jamii na sanaa na sayansi ya jamii kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo, Dodoma n= au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.
B. KAZI NA MAJUKUMU.
i. katibu wa kamati ya mtaa
ii. mtendaji mkuu Wa kijiji.
iii. Mratibu wa utekerezaji wa sera na sharia zinazotekelezwa na halmashauri katika mtaa.
iv. Mshauri katika kamati kuu ya mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika mtaa.
v. Msimamizi wa utekerezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umasikini katika mtaa.
vi. Msimamizi na wa utekerezaji wa sharia ndogondogo pamoja nana sharia nyingine zinazotumika katika mtaa.
vii. Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kozi wote.
viii. Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa mtaa na
ix. Atawajibika kwa mtendaji wa kata.
c.mshahara TGSC YAANI TSHS. 455,000/=
MAMBO YA KUZINGATIA
i. Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 25-40.
ii. Waombaji waambatanishe vivuli vya vyeti vyao katika barua za maombi pamoja na namba zao za simu.
iii. Barua zipandike picha 2 (passport size)
iv. Watakaokidhi vigezo watajulishwa
v. Maombi yatumwe kwa:-
Mkurugenzi wa manispaa.
S.L.P 28.
Shinyanga
6. mwisho wa kutuma maombi tarehe 9/ 10/2014 saa 9.30 alasiri
Imetolewa na :- festo l. kang'ombe
Mkurugenzi wa manispaa
Shinyanga.

0 comments:
Post a Comment