Friday, September 26, 2014

MTENDAJI WA KIJIJI.



MTENDAJI WA KIJIJI.
HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYINGA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya shinyanga anatangaza nafasi za kazi kwa mujibu wa kibali cha ajira chenye kumb.Na.CB 170/376/01/B/56 cha tarehe 7/8/2014 kutoka kwa katibu mkuu menejiment ya utumishi wa umma, kwa wananchi wote wenye sifa na raia wa Tanzania kuomba nafasi za kazi zifuatazo.


2. MTENDAJI WA KIJIJI.
A. SIFA
i. Awe raia wa Tanzania.
ii. Awe na elimu ya kidato cha iv au vi
iii. Awe amehitimu mafunzo ya stashahada (diploma) kwa miaka miwili katika fani zifuatazo; utawala, sharia, elimu ya jamii, usimamizi wa fedha, maendeleo ya jamii na sanaa na sayansi ya jamii kutoka chuo cha serikali za mitaa Hombolo, Dodoma n= au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali.
B.KAZI NA MAJUKUMU
i. Afisa masuuli na mtendaji wa serikali ya kijiji.
ii. Kusimamia ulinzi na usalam wa raia na mali zao, kuwa mlizi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijij.
iii. Kuratibu na kusimamia upangaji na utekerezaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji.
iv. Kitibu wa mikutano na kamati zote za halmashauri ya kijiji.
v. Kutafsili na kusimamia sera, sharia na taratibu.
vi. Kuandaa tarifaza utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamisha wananchi katika kuandaa na kutekereza mikakati ya kuondoa njaa umasikini na kuondo njaa.
vii. Kiongozi wa wakuu wa vitengo katika kijiji.
viii. Kusimamia na kukusanya na kuhifadhi nyaraka zote na kumbukumbu za kijiji.
ix. Mwenyekiti wa kikao cha wataalamu waliopo katika kijiji.
x. Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi.
xi. Kusimamia utungaji wa sharia ndogondogo katika kijiji.
xii. Atawajibika kwa mtendaji wa kati.
c. mshahara: tgs yaani tshs 445.000/=


MAMBO YA KUZINGATIA
vi. Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 25-40.
vii. Waombaji waambatanishe vivuli vya vyeti vyao katika barua za maombi pamoja na namba zao za simu.
viii. Barua zipandike picha 2 (passport size)
ix. Watakaokidhi vigezo watajulishwa
x. Maombi yatumwe kwa:-
Mkurugenzi wa manispaa.
S.L.P 28.
Shinyanga
6. mwisho wa kutuma maombi tarehe 9/ 10/2014 saa 9.30alasiris
Imetolewa na :- festo l. kang'ombe
Mkurugenzi wa manispaa
Shinyanga.


0 comments:

Post a Comment