Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa na wajukuu zake tayari kwa kukata keki ya sherehe ya kutimiza miaka 60 ya kuzaliwa kwake tarehe 26 Agosti,aliyoandaliwa na mkewe mama Regina Lowassa huko Hekima Garden mikocheni,jijini Dar.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa na wajukuu zake,Mkewe Mama Regina Lowassa pamoja na mtoto wake Freddy Lowassa (kushoto) ambaye pia naye siku hiyo ilikuwa siku yake ya kuzaliwa.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimlisha kipande cha keki Mkewe,Mama Regina Lowassa.
Mama nae akimlisha keki mzee ikiwa ni sehemu ya pondezi.
mtoto akimlisha keki Baba ikiwa ni sehemu ya kujipongeza kwa pamoja kwa kuzaliwa tarehe moja,
0 comments:
Post a Comment