Monday, October 8, 2012

Sheria Sports Club yapata ushindi wa mchezo wa bao kwenye michezo ya SHIMIWI



 Wanamichezo wa Sheria Sports Club wakiwa kewnye maandamano wakati wa sherehe za kufunga michezo ya SHIMIWI katika uwanja wa Jamhuri  Mkoani Morogoro Jumamosi 
 Mshindi wa tatu wa mchezo wa bao kwa wanawake Bibi Salome Sumbi kutoka Sheria Sports club akipokea kombe la ushindi huo kutoka kwa mgeni rasmi
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Moses Chitama (aliyeshika kombe) akifurahi na wanamichezo wa Sheria Sports Club mara baada ya mshindi wa tatu wa mchezo wa bao kwa wanawake Bibi Salome Sumbi (wa kwanza kushoto kwa Bw. Chitama) kukabidhiwa kombe hilo.

0 comments:

Post a Comment