Wednesday, June 4, 2014

KUITWA KWENYE USAILI Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji - 13 Juni, 2014




KUITWA KWENYE USAILI Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji - 13 Juni, 2014
KUITWA KWENYE USAILI        
Kufuatia tangazo la kazi lililotolewa na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji la tarehe 14 na 17 Februari, 2014 kwenye magazeti  ya Habari Leo, Mtanzania na Daily news; kuhusu kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anawatangazia waombaji kuangalia katika tovuti www.moha.go.tz na www.immigration.go.tz ambapo majina ya wanaoitwa kwenye Usaili yameorodheshwa. Usaili utafanyika tarehe 13 Juni, 2014, katika uwanja wa Taifa. Wasailiwa wote wafike saa moja na nusu asubuhi. 



0 comments:

Post a Comment